I am looking for a broken angel to give each other company

Kama umeweza kuandika basi kula hutashindwa,. Amka piga nyeto bao lako moja, fanya mazoezi, kula, ufanye mambo yako ya msingi achana na mabroken angel sijui nini nini yatakupotezea mda๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
CCM imetengeneza vijana wa hovyo sana siku hizi.
 
Broken angel na Broken man mnazungumza nn sasa wakti wote mmeumizwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Nyeto ni kw mda mfupi ila akipata uyo broken angel atadumu kw masaa
 
Lemme start by saying mapenzi shikamooo......After that, am looking for a broken girl just to gimme a company.

I want someone to chat with, someone I can explain what happened to me...May be I'm gonna eat, may be I'm gonna sleep!

My DM is open!
Njoo Dm unambie details zako kuanzia umri, elimu, mahusiano yako, kama una watoto au la.

Kama utakuwa vema nikuweke kwa kadada fulani hivi kapambanaji sana ambako kamechelewa kuwa na mahusiano now kapo desperate.
 
This is what I really need
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ