I am looking for a Husband

Kaguo_

New Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
2
Reaction score
9
Habari wapendwa. Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 32. Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza jukwaani kutafuta mume kwenye Nia ya kweli.

Uwe Mkristo mwenye hofu ya Mungu
Uwe na Umri kuanzia 35-49.
Uwe na shughuli halali ya kuingiza kipato.

Karibuni Pm iko wazi.

Asanteni.
 
Nipoooo shughuli halali ninayo, nimeajiriwa kwa Mo Dewji, mshahara wangu ni laki na nusu, ila Kuna madili huwa napiga.

Je, uko tayari kunidhamini nikiwekwa Ndani?

Make sure baba yakk asijue Siri hii
 
Aise..... Kila la kheri
 
Nipoooo shughuli halali ninayo, nimeajiriwa kwa Mo Dewji, mshahara wangu ni laki na nusu, ila Kuna madili huwa napiga.

Je, uko tayari kunidhamini nikiwekwa Ndani?

Make sure baba yakk asijue Siri hii
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwenye huo umri Tunaongezea miaka 5,

Wanawake mnakuaga waongo Sana kwenye suaala la umri
 
vigezo nimekizi

ila
kaburi la baba mtoto lipo?
kama yuko hai hapana kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…