Kazi haitafutwi hivyo kijana. Msomi wa Mass Communication ningetegemea kuwa unajua psychology na mbinu za kusaka ajira. Waajiri hawawezi kukutafuta (labda uwe na exceptional talents). Wewe ndiyo unawatafuta. Ingia kwenye mitandao ujifunze namna ya kutafuta ajira, kuanzia namna ya kutayarisha resume/CV, kuandika barua za kuomba kazi, kufanya usahili, maandalizi kabla ya usahili, nk.