I am looking for a single parent to marry me

Insanity ni ile hali ya kuendelea kurudia jambo lile lile ambalo umelifanya mara nyingi huku ukitetemea majibu tofauti...
 
Why her parents have to do with her needs? Are you really a human being who has and fear God? God forgive you . Thanks!

This was just a joke my dear,wasn't serious so naomba Unisamehe kwa hili
 
You are 25 and u er looking for a single parent husband!!

I am wondering when u reach 30 who will you be looking for!! A husband who has lost his wife?

Wonders shall never end. You sound desperate my dear which is very bad

Hehehhee ni kweli mkuu lakini hayakuhuthuu
 
Aisee !!!...
 
Kama wewe naanza kukuhesabu leo,sijui kama utapata au lah?
Ila wengi wao ni wachezeaji tu hapa itabidi dada awe makini sana
Mungu akipenda nitapata....bahati sisi wanyonge hatuna vigezo kama elimu na urefu...nadhani baada miaka kadhaa ijayo mchina atatukomboa kuhusu urefu..........
 
Mungu akipenda nitapata....bahati sisi wanyonge hatuna vigezo kama elimu na urefu...nadhani baada miaka kadhaa ijayo mchina atatukomboa kuhusu urefu..........

Hahahaaa,endelea kuamini na kusubiri!
 
Heheheheh mtu ana shida halaf anatoka masharti kali nayo umeona

Hahaa hapo unamuonea....ninyi mnapotongoza hamnaga vigezo? Af wote tuna mahitaji...anayetafuta na anayetafutwa...huyu kuanza kutafuta haimaanishi ana shida kuliko yule anayetafutwa
 
This was just a joke my dear,wasn't serious so naomba Unisamehe kwa hili

Dear kumbuka kama MTU ameleta shida yake hapa hawezi kufanya joke, yuko serious ndio maana amekuja hapa . No offense but huu ndio ukweli. So please tujaribu kuchukulia serious kwenye threads za watu. Thanks!
 

Nyie ndo mnakuja kutufundishia watoto wetu kiingereza kwa style hii? :frusty:
 

I am not matching any of above qualifications, can i pm you?
 

Good looking is money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…