I am looking for a single parent to marry me

Wapenzi wa kuumba hao hamnaga, sawa unaweza mpata wa sifa unazotaka lakini tabia hamuendani. Hapo itabidi sasa uunde tume ndogo ya mabadiliko ya sifa pendekezwa.
 
Raia mwacheni mrembo,may hawez kupata mimba ndo maana anataka kulea wa wengne,25 alaf unakata tamaa mapema,kama mwenye mtoto kashndwa kumuoa alyemzalia kwanin akuoe wew?
 
Wapenzi wa kuumba hao hamnaga, sawa unaweza mpata wa sifa unazotaka lakini tabia hamuendani. Hapo itabidi sasa uunde tume ndogo ya mabadiliko ya sifa pendekezwa.

Pasipo kuumba hamna jambo litatokea. Kuumba kunamfanya Mungu ajue unataka nini. Kuumba ni kanuni ya Mungu. MWANZO 1:1- Lazima uwe na plan ya unataka nini Kitokee na hayo ndo maono maana pasipo maono watu huacha kujizuia. Let say unataka kazi, lazima uumbe kuwa nataka kazi ya aina fulani, kama hujaumba unaweza chomekewa kazi na shetani na ukaanza kumshukuru Mungu. Kama hukuumba kazi gani upate ni rahisi sana kujikuta unafanya kazi casino au kuuza bar na ukamshukuru Mungu kwa sababu ulipokuwa unamwomba kazi huku specify. Ukweli ni kwamba utaamua ukafanye casino kwa kuwa umepata na hata kama mshahara utakuwa mzuri lakini jua umechomekewa hiyo kazi kwa kuwa hukuiwaza kabla ya kupata.

Lazima uwe na plan. na kutokana na kutokuwa na plan kwa wana wanafunzi mbalimbali utakuta wengi wao wanamaliza form 4 au 6 na kwenda chuo kusoma Education. Ukweli wengi wamechomekewa na mfumo wa elimu ambao unampa mtu kwenda katika hali ya ili mradi chuo. Ukichunguza sana utabaini kuwa wale tu walie plan kabla kwamba lazima nitasoma Education na kweli wakasoma hiyo ndiyo walimu bora. Na hawa wanaosoma Education kwa sababu ndiyo kozi aliyochaguliwa na Chuo au TCU mimi nawaita "waliochomekewa" huwa ni wale waliokosa uwezo wa kuumba ubadaye wao. Wanapenda kusema anajua Mungu alichoniandikia... huu ni ujinga wa hali ya juu (yaani ni Ukosefu wa maarifa) na ndipo kuangamia kunapoanzia. HOSEA 4:6. Kwa kifupi mtu wa namna hii hana shabaha (target) ni bora amesoma.


Hapo kwenye blue ndipo ulipo uumbaji wa Mtoa mada. Atapata alichoumba! Na ndiyo njozi yake HABAKUKI 2:1-2.
Na kwenye red pale panapingana na penye blue. Itakuwa kachomekewa endapo atakuwa nje ya alichoumba.

Binafsi naona mtoa mada yuko sahihi na mpango wa MUNGU ALIYE HAI utatimia kwake pasipo kuchomekewa kile ambacho hajakiumba.
 

Nakujibu kwa hoja fupi, Maisha hayana formula na kiuhalisia watu wengi waliweka/wanaweka malengo ya kutimiza ndoto zao katika mambo mbalimbali, na sio wote wametimiza ndoto zao ni wachache, na huko kutotimiza ndoto sio kwamba ndo wamefeli kimaisha, isipokuwa kushindwa kutimiza ndoto zao za awali kumewafungulia njia nyingine mpya kimaisha na wapo happy.
 

HOJA: Maisha hayawi na fomula kama hujaelewa KUSUDI la kuzaliwa Kwako (LACK OF THE SPIRIT OF UNDERSTANDING). Usijumlishe wengine kwa hili ni kwa wachache tu wasioelewa wakiwemo Watanzania wenzangu wengi. Maisha yana fomula ila watu huikataa formula. Ukikataa unaachwa Uchakachuliwe na misemo eti maisha hayana formula "WARUMI 1:28". KWANGU MIMI NA WACHACHE WANAOELEWA MAISHA YANA KANUNI.
Huyu binti sensitive lady anaonesha kuwa ana formula. Tusimchanganye!
 

Yap ni kweli hatuwezi kufanana mitazamo, ila point yangu ni kwamba vigezo vya elimu, uzuri na vinginevyo sio guarantee ya maisha mazuri ndani ya mahusiano, unaweza ukapata mtu amekidhi vigezo vyako vyote na bado akawa mwiba kwako. Kwa hiyo sijampinga mleta mada matakwa yake ila nimetoa angalizo.
 

Yaani my dear umenena I love it. Humu kuna watu viatu. Kila ulichoongea ni sahihi na nishasema kwa upande Wa Kibiblia lakini still watu wanamsimanga Dada Wa watu. Wanao chuki ,na none sense reasons. But I'm glad at least you are supporting her. Dada usife moyo achana Yuda ambao walimsaliti hata Yesu sembuse wewe . Thanks!
 

Hamna chuki, ni mawazo ya watu juu ya mada husika, unachoona kwako sahihi kwa mwingine inaweza kuwa tofauti, kwa hiyo sishangai kuona mawazo tofauti kutoka watu tofauti.
 

amen. Thanks!
 

1. Tall and good looking
2. Christian (not msabato)
3. Degree and above 😵😵😵
 
waadventista wa sabato ni wafuasi wa kristo yaani wakristo kwa hoja yako wasio wafuasi wa kristo ni Judaism(dini ya kiyahudi)hata hivyo waadvendista wa sabato hawatakubali proposal yako kwa vile umewanyanyapaa kwa kuwanyanģanya kristo ambaye wewe ulishamkataa kwa kutofuata maelekezo yake.
 
Kuna mtu anaitwa satisfire naye anataft singo mama jaribu
 
Degree ya kitu gani. .. Mimi. Nina Degree ya mapenzi.....
 
Are you beautiful? How beautiful???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…