I am looking for a single parent to marry me

Urefu na good looking ni subjective term, aseme height ya kiasi flani.
 

[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] huyu ni mimi alieanzisha hii post 3 years ago

Nailaani siku niliyoandika hii post sijui niliwaza nini kutaka single parent yet I was still that young. From this post I got a man ambae amaniharibia saikolojia yangu completely now I need a psychologist to counsel me nirudi kwenye hali ya kawaida maana nimetokea kuwachukia wanaume

Sent from Samsung A8 using Jamii Forums mobile app
 
Ooh
Pole saana da zawadi... Dunia sinia pakua unachoweza.
 



Kweli hauko sawa ww....ktk nyakat km hizi ndo unatakiw utulize akil zaid
 
Nyie mnaochagua na kuidealize waume zenu, ndo hamshikiki kweny ndoa,...
 
Kakufanya nini ebu eleza kidogo
 
ifike mahali sifa ya chura iwe inatajwa pia!.......ni vyema muwe mnsema chura ipo au haipo wakati wa kutaja sifa zenu![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…