I am looking for a wife material

ndusyepo

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
165
Reaction score
41
Naitwa Richard age 27yrs naishi Dar maeneo ya Tabata, natafuta mwanamke mwenye sifa za kuwa kuja mke na mama wa familia awe mkazi wa Dar es Salaam.

-Dini yeyote
-Elimu yeyote
-Umri usizidi 26

Na awe na mapenzi ya kweli kama uko tayar please PM

N.B- NIKO SERIOUS JAMANI.

Asanteni.
 
Utaibiwa wewe mke hatafutwi hivyo, wee subiri utapeliwe na hilo linamba lako la simu
 
kuna threds nyingi tu za wadada wanaotafuta waume pia... kwa nini unatuchosha??
 
Hahahaaa! Eti dini yeyote na umri yeyote! Kiswahili cha wapi hicho mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…