I am looking for an investor/partner

sampo ya bidhaa au picha yangu? mkuu
weka sample ya bidhaa unazouza....itapendeza zaidi kama sio picha za kudownload weka ulizopiga mwenyewe

au kama uko radhi kuweka handle ya page yako ya biashara niipitie
 
Nishawishi kwa kuandika biashara na mpaka sasa umeingiza mzigo kiasi gani? Biashara ina mda gani? Una kiasi gani cha mzunguko na bidhaa zako ni zipi

Wala haina haja ya kuja private kwanza jibu hayo kwanza
Mtaji unaoutaka ni kiasi gani?
Kuna wakati risk inatakiwa ili ufanikiwe au upate kitu
 
Nakushauri pia uende kwenye maduka makubwa uongee nao wanaweza kuamini "kama ukiwashawishi" ukafanya nao mali kauli.
Narudia "kama wakikuamini"
Nilianza biashara ya kuuza oil za magari na pikipiki kwa uaminifu na supplier wakubwa kwa "uaminifu" mpaka sasa biashara hiyo ni mama kati ya biashara nilizonanzo.
 
Mkuu picha yako tena?

We unataka udhamini wa bidhaa zako au wa kwako wewe?
haha, inabidi tu niulize mkuu maana maoni ya watu kila mtu ana akili yake anyway sampo za bidhaa zangu hata kwenye baadhi ya post huwa napost hapahapa ila ili kuona kwa uzuri zaidi waweza kutembelea page yangu ya instagram @flamesinteriors au bonya link kama ita-work ➡️ https://instagram.com/flamesinteriors?igshid=YmMyMTA2M2Y=
 
nashukuru pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…