I am Looking for serious Man

Umejiunga jana tu, na jana hiyohiyo unatafuta mchumba!!!!

Any best wishes....
 
Tatizo la kutuma usichana wenu kwa wame za watu matokeo yake ndio haya

Miaka 31 unatafuta mtu mwenye sifa hizo unazozitaka hivi unafikiri alikaa kukusubiri wewe??

We mchepuko wako kaamua kurudi njia kuu kaamua kuhudumia familia na wewe ndio unaona umuhimu wa mume??

Wewe ulipaswa useme unahitaji mwanaume yeyote wa kuzaa nae bas
 
Hahahaaa! Your outdated , moreover you have diploma ,it seem that you are too much used!

You word we be correct if you have virgin other wise be wise[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Who ready for marriage!!!!hell no, tusiuziane mbuzi kwenye gunia..

Love himself yes..

All the best
 
UJANA UME KULA NA WENGINE, SASA UNA TAFUTA PA KUZEEKEA!!!!!

wapo walio achina na wake zao, utawapata!

MM NINAYE WA TANGIA UJANANI WETU.

wadada bhanaaaa!
ENZI ZAKO WED ULI WANYANYASA, na Sasa ni zamu yako...
 
Wewe mtoto una miaka mingapi? Miaka 31 tangu lini ni mzee? Hivi miaka 31 na 27 wakikaa sehemu unaweza kuwatofautisha kwa macho tu?
 
Kigezo cha umri ndo nimefeli.
 
Duuuh kweli Age hiyo ya 3 Decades plus 1.
Kule Gornzo na Brazzers wanaita Milf
Kaza lakini Dada Angu utatupata tupo bt most of us the age is lower yours.
So will you be ready.
 
Wewe mtoto una miaka mingapi? Miaka 31 tangu lini ni mzee? Hivi miaka 31 na 27 wakikaa sehemu unaweza kuwatofautisha kwa macho tu?
Na maanisha aliye mtoa UBK wake......!

Pia haja jieleza je amezaa au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…