Kuna kitu tunashindwa kukikubali...
Hata ukiwa na makaratasi au passport ya aina gani yaani ukitoka tu kwenye mipaka ya nchi yako (Tanzania etc)... wewe umeshakuwa "Second class citizen" .. Jinamizi la nyumbani na utamaduni wako vitaendelea kukusumbua daima na miaka yote..