Mhando Godfrey
Member
- Dec 9, 2016
- 69
- 30
Karibu sanaNimejiunga na jamii forum siku chache tu naombeni ushirikiano wenu
Karibu ila umekuja mwishoni
Sidhan kama kuna hio option,iv humu ukitaka kuchange username unafanyaje et jaman .ni msaada tu
Muda c mlefu jf itafungiwa coz daririzote nazionaunamaanisha nin kumwambia ivo?
Ushirikiano wa nini wakati tushaanza kuishi kama mashetani kwani disco lishaingiliwa na mmang'atiNimejiunga na jamii forum siku chache tu naombeni ushirikiano wenu