I am new member

Nimejiunga na jamii forum siku chache tu naombeni ushirikiano wenu
Karibu sana aiseee......
Kwanza umekuja wakati ambao humu jf si salama tena.
Alafu kuna ajuza asubuhi alipendekeza member watumie majina yao ya ukweli kam ulivyo fanya wewe.
Mwisho kabisa, popote utakapi niona niite mkuu, hilo ndilo jina langu
 
karibu uige mfano wangu ,ukipost uwe na evidence vinginezo nyumba hii hutakaa robot hatakuacha
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…