I am pregnant with Twins

Nimefikiria hivi, Shawn Carter Ngwilulupi na Kobe Bryant Ngwilulupi assuming baba yao ni mbantu na ana majina ya kibantu!!

tsk tsk tsk kazi ipo kwa kweli,una akili sana tsk tsk Ngwilulupi is such a great name lina sound kama la kitawala sana (chief).Sean na Kobe majina unique sana hayo.
 
Kuna jamaa alikuwa akijidai kweli humu, naona pwaaaa mwenzie kitu na box la kichikano.....
 


Ni PM nikupe contacts zangu, naahidi kukupa care nzuri wakati wa kujifungua, hilo najitolea kwa moyo mweupeee!! Kama uko tayari lemme know.
 
tsk tsk tsk tsk that is good one! you made me LMFAO tsk tsk tsk
hayo majina yatakuwa middle name lazima nirepresent ila mmoja atakuwa Kobe mwingine sean carter (Jayz)

First, hongera sana....
Pili, hayo majina nimeyakubali.

Ila kama unamaanisha Jay ni Shawn na puff ni Sean.
 
Hongera mdada, kweli hiyo ni good news, Mungu akufikishe salama hiyo safari yako ya myezi tisa, Naam akupe hekima ya kuwapa makuzi bora.
 
Congrats sana, will pray for you!...

Inatamanisha uongo mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…