Sasha Fierce
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 361
- 5
- Thread starter
-
- #101
bwa ha ha ha wezako wanalilia watoto wao wawe kama mie.......FYI the real YO YO is intelligent,mchamungu,honest and trustworthy,a well balanced Person,truthful na pia ninaheshimika katika jamii inayonizunguka.....bila kusahau ni nadhifuThank you wote kwa nasaha nzuri inatia moyo.
Yo yo i am so sorry yaan nikiona watoto wangu wanakuwa na tabia kama zako sijui hata nitachukua hatua gani.maana ww uncle hujatulia kabisa.LOL!
hell nooooo.....msiniharibie jin JF hao sio marafiki zangu.....kumbe ndio wanadangany mtaani wpate mashori kwa jinaa langu?I can't believe this.Kwa sababu nikiangalia rafiki zako wa karibu humu jf napata mashaka na madai yako ya hapo juu.Fidel08,masanilo,Nyani ng'abu,siwezi kuamini kama madai yako ni ya kweli.
Mhmhhhh ni mkazezee ,
bwa ha ha ha wezako wanalilia watoto wao wawe kama mie.......FYI the real YO YO is intelligent,mchamungu,honest and trustworthy,a well balanced Person,truthful na pia ninaheshimika katika jamii inayonizunguka.....bila kusahau ni nadhifu
Aaameeen.....nipo tayari jamani.......itabidi nikualike kanisani kwetu siku moja.Nieambie kama upo tiali,.
Aaameeen.....nipo tayari jamani.......
usiombe wala usipime!kulea inakusumbuaa sana wos...
Nilikuwa nataka ku-share good news with you family kuwa i am pregnant with twins.Nipo 4 month na half pregnant na jana nilikwenda kwa ultra sound na results ni kwamba ninapata boys.
I am doing fine and hope all goes well.Nina 5 more month to go.
Its a blessing kwa kweli na nina mshukuru mungu kwa yote.
I need your prayer kwa kweli.
asenteni.
Thank you mwanajamiione,mwenzio wala nilikuwa sitegemei kupata ujauzito leo au kesho lakini nadhani ni mipango ya mungu tuu.
Kuna swali nataka kuuliza a while back watu walikuwa wanaongea sasa sijui kama ni kasumba tuu ile.Kuwa eti ukiwa na mimba alafu ukaja kumpenda sana mtu (it doesn't matter mwanamke/mwanaume) wanasema kuwa ukija kujifungua ni kwamba posibility ni kubwa yule mtoto kufanana na yule mtu uliyempenda sana wakati wa mimba (miezi yote 9).
Ni kweli au ni uzushi?.maana kama ndiyo hivyo nampenda sana Brad pit (ina maana twins wangu watafanana naye?).
Pregnant.... carrying developing offspring within the body.
Pregnancy.....the condition of being pregnant. Mjuaji wa lugha kosa langu liko wapi hapo?