Hongera sana Mama kwa yote hayo. Kuna watu wengi watasema ni uongo, au ni unoko, wengine watasema ni kutafuta sifa na ujiko ila ukweli ni kwamba wanasema hivo sababu wenyewe hawataki kujaribu, au wameshindwa.
Kila siku nasema: Siku hizi ujinga ndio unaonekana ujanja. Na ujanja unaonekana ujinga.
Kuna dada aliandika story yake humu (namna gani aligeuka changu na the reason anawachukia wanaume) hakuna hata mmoja alie bisha na kusema haiwezekani sababu hiyo imekua ni jambo la kawaida. So when I see people like you wakijivunia tabia zao nzuri nafurahi sana.
Hongera Mama, keep it up, na mengine ambayo hujaweka sawa endelea kufanyia kazi. Even if perfection is not human, we still have the moral obligation to persue it.