I Am Ready To Loose My Virginity At 70...



W
Wacha story nyoka we mubibi..
 
Huyu maza myeyushaji, unaweza kupoteza bikira yako hata kwa kuendesha baiskeli. Sijui yeye ana uhakika gani kwamba bikira yake bado iko?

Inategemea na unavyoelewa maana ya bikira, bikira ni neno linalotumika kwa mwanamke ambaye hamjui mume.
na kunakuwa na kilayer katika sehemu za siri za huyo mwanamke ila hicho kilayer kinaweza kutoka kwa kuendasha sana baiskeli au kufanya sana mazoezi na mwanamke ambaye ni bikira lakini hana hicho kilayer akikutana na mwanamume kwa mara ya kwanza damu huwa haitoki au inaweza ikatoka kidogo sana kiasi cha kwamba atagunduwa akiwa anaoga ataona damu au kwenye nguo yake ya ndani tofauti na mwanamke mwenye hicho kilayer kipo damu itaonekana hadi kwenye shuka japo wote ni mabikira
 
Ingekuwa kila nanihii inayomuingia inaota hahaaaaa!!!!!!!!!!!!!. Wengine wangekuwa la rasta za vikojoleo mwili mzima hadi kwenye unyayo.
 
Huyu maza myeyushaji, unaweza kupoteza bikira yako hata kwa kuendesha baiskeli. Sijui yeye ana uhakika gani kwamba bikira yake bado iko?
Bujibuji.. how many times nimekwambia kuwa bikra sio ka-ngozi au utando uliopo kweny njia ya uzazi wa mwanamke!!????, ni ile hali ya kutoingiliwa na uume, au kitu chochote kigumu kwenye njia ya uzazi. So kuendesha baiskeli hakuwezi kutoa bikra. kama wa kwako alikwambia ilitoka wakati anaendesha baiskeli,... umeibiwa mkuu. so, huyo bibi anawez kuwa bikra tu kama hataingiliwa na ub...o , though i dont believe the story
 
bikra ni ile hali ya mwanamke kuwa hajawai kukutana au kuingiliwa na mwanaume kabisa kama mimi mkuu...
Smile.. acha kupiga mayowe....... acha wayaone wenyewe........ acha kupiga mayowe..... acha wayaone wenyewe. mabikra huwa hawasmi..
 
Mmh atolewe kwa ku mwagiwa maji ya betrìi teh teh
c mzee huyo kama vp bora tu abaki nayo time zi sha isha haina haja tena mmh napita tu but y ali ibana ivyo aliona ufahari eeh ona sasa anaomba msaaada itolewe mmh nyie wanawake bana si afe nayo tu sasa kama sio ki geugeu nini mmh mi cjui bana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…