I am single again

Halafu 2021 atakuja jamaa yetu kabisa, atatangaza nia dadeq, atapangiwa mahari ya 3+million. Atawehuka kuzitafuta ili aweke chuma ndani.

I insist, japo nipo nje ya mada, tusitishe mahari jamani.
 
Labda wamemshika wamchune
Probably. I was thinking the same labda wamemeroga coz the situation doesn't look Normal. Marafiki zake wote wapo wapo tu hawana maisha yeye tu ndo mambo safi. Anyways mambo ya kishirikina siyapi sana kipaumbele.
 
Probably. I was thinking the same labda wamemeroga coz the situation doesn't look Normal. Marafiki zake wote wapo wapo tu hawana maisha yeye tu ndo mambo safi. Anyways mambo ya kishirikina siyapi sana kipaumbele.

Watu wa wapi marafiki?Yeye wa wa wapi??
 
Wanawake hufikiri mambo ya mpenzi wake (kabla ya kuoana) huwa hayawahusu. Kuna rafiki yangu alikuwa cha pombe haswaaa lakini alikutana na mwanamke anayejua nini maana ya nguvu ya mwanamke katika mapenzi. Jamaa aliacha kunywa pombe na kanisani alienda . Huwezi kuamini lakini jamaa alibadilika na kampani za ovyo ovyo aliziacha. Mwanamke ndiye aliyembadilishaa jamaa
Endelea kumtafuta mwanaume aliyeperfect 100%
Mambo yake ndo yamenifanya nimkinai.
 
Nimekuelewa boss. Mimi sikutaka kumbana hata kidogo. Nilimpa nafasi jummamosi aspend na marafiki zake. Ili jumapili tuwe wote. Yeye sasa jumamosi na jumapili zote anakua ametingwa. Siku za kazi anatoka kazini saa 2 usiku inakua ngumu kuonana. Nilishindwa hapo. Weekend nzima hata nikimpigia hapokei. Kuna mahusiano hapo au napoteza mda wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…