hongereni sana mama zetu.....!
tumechagua kuyaepuka na kuyakemea matendo ya kikatili dhidi ya wanawake...!
tumechagua kuwathamini,kuwaheshimu na kuwapenda wanawake.....!
Have A Blast ASHADII....!
PAMOUUUJEEEERRRR!
hiyo ni past my dia am soo happy now toka nilivojitambuakuwa mimi ni mtu niliekamilika na kuamua kuchukua hatua kila kitu kimebadilika.Smiles usije ona other women appreciate Men ukadhani kua wao hawajawahi borekeka nao.... Wewe unawachukia sababu you have given them the power to control you completely and for long. Inapokua maamuzi, mtazamo wako na kuharibu furaha na Amani kwa ajili ya Mwanaume... Then hapo ndipo hasa unampa nguvu. Na bahati mbaya unapo umia na kupitia yoote hayo ukute hata habari hana. Ni Kweli akuumize for a while na uchukie lakini usiidumishe.... else unakua umekabidhi maisha yako kwake....
Nimependa sentensi yako ya Mwisho... Kumbuka kujipenda ni pamoja na kutokubali mtu akuharibu inside.... Thank you for sharing...
Hujamalizia kamanda,
Nilisubiri kusikia hitimisho kama hili....
"Ila mara moja moja shetani anafanya vitu vyake na tuna........."......Hata hivyo, jueni kwamba tunawapenda saaaanaaaaaaaaaaa!!!!!!
Babu DC!!
Every Home, Every Heart, Every Feeling, Every Moment Of happiness is incomplete without a woman.............so I am.
Happy Womens Day!
To all the women I loved before......Happy Women Day......:lol::eyebrows::embarassed2:
wapendwa,
nakumbuka kukutana na swali kwenye interview ya pili kuhudhuria baada ya kumaliza shahada ya kwanza; "siku ya wanawake ni lini? kwa kweli sikuwa naijua na nilikosa lile swali! tangu hapo nikachimbachimba hadi nikaijua na kuanzia hapo sijawahi kuisahau!!
ubarikiwe sana ADii,
mbarikiwe wanawake na wanaume wote!
Glory to God!
Nice thread.
wanawake tunaishi ajili ya wengine, watoto, waume, familia kwa ujumla.
Na wao wanaishi ajili yetu. nashukuru na ninafurahia kuwa mwanamke..
dedication to every woman out there.
Alicia Keys - Superwoman - YouTube
Hujamalizia kamanda,
Nilisubiri kusikia hitimisho kama hili....
"Ila mara moja moja shetani anafanya vitu vyake na tuna........."......Hata hivyo, jueni kwamba tunawapenda saaaanaaaaaaaaaaa!!!!!!
Babu DC!!
i love that purple ashadiii...!and thanks...!
and "hongereni sana wanawake"...!
enjoy your day
Maneno yako ni kweli kabisa dear.... Alafu can you believe wimbo huo wa Alicia naufahamu na kuona kwenye video the way ana change proffesssions mule ndani ila sijawahi tulia kusikiliza hasa wahusu nini? lol.... Leo Wonder Woman nausikiliza sasa hivo online word to words.... THANKS for the dedication and that on behalf of the all the women out there.... Pamoja Saana.
hiyo ni past my dia am soo happy now toka nilivojitambuakuwa mimi ni mtu niliekamilika na kuamua kuchukua hatua kila kitu kimebadilika.
Nilikataa mwenyewe kuonewa,kudharauliwa.kupigwa nakuumizwa
Kuwa mimi kama mimi kumenisaidia sana
Tatizo ni ile hali ya kuremove past memories
I wish one day ningeamka kichwa changu kiwe hakina hata harmful memory
Ila haiwezekani I have to cary all the bad memories forthe rest of my life
Au nivute bange
Thanx Madamme, Tunatembea vifua mbele kwa sababu mpo. Otherwise hatuwezi kuwa sisi bila nyie.THANKS Renegade..... And on behalf of wanawake woote napokea salamu.... Enjoy your day too dear....
thank you safari,i love this song soo much
Hapo tu,
Umekuwa on top of every one and everything kwa siku ya leo,
Si kwamba nina wivu ila umeonesha kwamba nusu kitu bado haiwezi kuchukuliwa kama kitu kamili!!
Umebarikiwa sana.......(ADi usijedhani Babu ana ghubu...lol)
Babu DC!!
am moving my diaPole mama Pole sana,
Maisha lazima yaendelee, bad memories zimeshapita, Aliyebaki ni wewe ,wewe ambaye umeshinda na zaidi ya kushinda. Sahau yaliyopita jana yako siyo leo wala hazitakutana.
Move on lady, Life is too short to Live.