MARCKO
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 2,258
- 275
Nianze kwa kuwashukuru kwa kuusoma ujumbe huu!
Mimi ninamiaka 27 kwa umri. Nimemaliza shahada yangu ya kwanza mwaka 2011 chuo kikuu kishiriki cha UDSM, hadi naandika ujumbe huu, ndio natimiza miaka mi3 kazini. Naomba uangalie HINTS Zifuatazo kisha unishauri nisipotee au kuharibika kisaikolojia.
* Nilipokua O'level nilikua napenda sana kugonga ngoma wakati wa vipindi vya dini shuleni (UKWATA)
* Nilipokua A'level niliendelea kupiga ngoma kwenye vipindi vya dini na baadae nikajiunga kwaya ya UKWATA nikaendelea kupiga ngoma hadi nikateuliwa kua mwenyekiti wa kwaya. Bado nikaendelea na ngoma yangu.
* nilipohitimu A'level nilifaulu kombi yangu ya HGL .
* Mawazo yangu nilitamani sana kwenda kusomea MUSIC PRODUCTION (na sio kuimba)
* nlihangaika kutafuta namna ya kupata chuo ila ilikua changamoto sana maana vyuo vya music Tz ni sawa na havipo tu maana nasikia Bagamoyo bhaas.
* Mzazi wangu (BABA) aliposikia natafuta maswala ya music hakuonesha kuunga mkono hata kidogo.
* kwa mazingira yangu ya nyumbani kuna dhana kwamba wasomi ni mtu ataesomea ualimu au sheria au udaktari, unekani unavaa suti nyeusi na shati jeupe.
* Niliamua kuomba Education (ili kurahisisha kupata chuo maana nlikua na div 11 ya point 10 ndipo nikapata UDSM DUCE.
* Nilipokua chuo sikujihusisha na music kwa namna yeyote!
* Nilikua mvivu wa kusoma maana kusoma vitabu kihiiivyo hapo kwenye akili yangu, ila Mungu amenijalia ubongo wenye kunasa na kunyumbua mwaswala.
* Sijawahi kufeli wala kurudia kozi yeyote chuo wala sijawahi kupata C, yaani (karai)
* Nimepangiwa Shule ya Sekondari Simanjiro Iliyopo wilayani Simanjiro mkoani Manyara, ambapo ndipo nilipohitimu O'level
* Nafundisha Kingereza na Geografia. (nilisoma Linguistics na Geography chuo)
* Naweza kwenda kusoma masters kwa chochote kihusucho Education maana vigezo nimetimiza, ikiwemo muda niliotimiza kazini hadi sasa!
* Nipo njiapanda maana sipendi ualimu japo nauweza na; ndio unaonipatia mkate wangu wa kilasiku.
* Napenda sana na NATAMANI niwe mtengenezaji wa Vionjo vya music (MUSIC PRUDUCER)
* Muajiri hatoruhusu kwenda kusoma kwa kubadili fani kama muongoza wa utumishi unavyoeleza.
* Napenda utengenezaji wa music na kwamba sitokufa bila kua maarufu kupitia music Production.
* Siwezi kuimba.
### Jamani naomba utenge muda wako wa kunishauri nianzie wapi###