I blame my self for letting you in Dear love

Aisee we si bro angu kabisa...mm mdogo wak nshakujua pole sana bro
 
Kwanini ujiumize kwa kujifanya humfahamu mtu pale mnapokutana kisa alikukosea, maisha ni furaha ukiwajua walimwengu hawawezi kukukosesha usingizi msalimie Cheka then endelea na yanayokuusu
Kwanini unadhani najifanyisha kuwasahau? Inaonekana unanijua kuliko ninavyojijua ambayo sio nzuri.
 
Ni mwanamke tena kazingua uko.Mjomba bado tu hujajifunza kuishi na hii sampuli. mbona mafundisho yako kila mahali.pole yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…