I can't help falling in love with you

I can't help falling in love with you

Mara yangu ya kwanza kukubaliwa nililala naota ndoto nzuri tupu.

Tukajadiliana mi nisome kua daktari yeye mwalimu kisha tuoane.

Fast forward 20+ years later yeye ni Mwalimu kaolewa na mshkaji mwanajeshi mimi naendesha bodaboda.
It is what it is. Mbona fuleshi tu mkuu
 
Quick Rocka alichukua mistari kwa hii ngoma sio? Kwenye ile nyimbo ya FALLING
 
huu wimbo ni juzi kati tuu hapa ndo nimejua haukuimbwa na UB40.

ila ni ngoma imetulia sana.
nilikuwa napenda ikiisha hii inaingia KINGSTONE TOWN
 
Back
Top Bottom