i cant sleep, help please!

Thank you members, thanks a lot JF, thanks in particular Susy, Ashadii na Russ' Lou'. JF imekuwa dawa yangu ya usingizi kwa kipindi kirefu zaidi ya mwaka sasa. Pindi nikosapo usingizi huwa napita forum moja hadi nyingine kutafua intersting Threads, nasoma hasa zile ndefu ama zenye michango mingi, mwisho hujikuta nimelala. Bt yesterday!? Trick iligoma na muda una kwenda. Kila mchango mlio utuma na kumake sense nilianza kuufanyia kazi nikajisahau hata kujibu, mpaka usingizi uliponipitia. Na masaa matatu nanusu baadae nikaamka na kuanza mchakamachaka wa sikumpya. Thank you guys.
Stay blessed.
 
Acha mawazo dogo, hiyo ndiyo sumu ya usingizi. Pia kuna vitabu maalum vya kuleta usingizi Vinaitwa Boring books! Vitabu hivi ukianza kusoma vinabore sana utachoka tu na kupata usingizi. Pole mkuu.

NI njia ambayo mie huitumia sana ninapokosa usingizi.
 
mkuu tuko pamoja... I can not sleep too.. Naona leo sitalala nitaunganisha moja kwa moja.... Vipi ushapata usingizi?? Lol
realy!!! Pole sana jaribu kwenda kwa hospital may be!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…