Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
I can't wait Tesla watoe simu zao so niseme kwaheri na iPhone coz nimewachoka na monopoly yao na ku complicate simple things kufanya ngumu eg ringtones kuweka simple tu, to download everything kirahisi bila kuhangaika na customization kirahisi;
Apple wamekuwa arrogant na matoleo yao hayana much diff anymore sio Km from iPhone 6 to X. Ukweli kwamba iOS is superior to android in many things lakini me nishachoka and I hope Tesla becomes more superior and pia ikae kw market kwa muda c kila mwaka kutoa toleo jipya and your previous phone becomes useless au less than half the price plus nackia itakuwa na satellite capabilities, solar charging, controlling vehicle among many others.