Ni kweli Elizabeth Dominic kuwa saa nyingine ni ngumu kujua cha kufanya. Ila kuna usemi usemao za mwizi ni arobaini, sasa unaweza kukaa kimya ukijua kuwa ndiyo umesolve tatizo halafu huyo dadako akaja kubambwa na kupewa kipigo kibaya plus talaka wakati still ulikuwa na nafasi ya kumshauri mapema kuiponya ndoa yao...
Ninachofikiri kumshauri si kitu kibaya, tatizo huwa ni namna gani unautumia mdomo wako kumshauri ili asijione amedharauliwa au kuumbuliwa. Suala la kuacha au kutokuacha hayo ni maamuzi yake mwenyewe, ila wewe utakuwa umetimiza wajibu wako mwema kwa ndugu yako! :A S confused:
The Boss hebu jaribu kufikiri kama ww ndio mume wa dadangu na unatuhudumia kwa gharama kubwa sana...hujapata dada mwehu wewe
unaenda kusema....anafanikiwa kusamehewa na mumewe
anakufuata anakutukana hadi basi.
utakuja kuambiwa upewe wewe kitumbua kama inakuuma kikipelekwa nje
mbona mwenyewe haimuumi?
na ataanza fitna kwa mumewe hizo pesa unazopewa utazisikia kwenye radio....
hebu tafuta mke na njia za kuongeza kipato aisee
Her husband is a business man and he is the best man you would ever meet. He's so good to my family, and he hardly ever raises his voice or gets mad.
You know mellow and calm people? That's him! I love and respect him like I would my father cos he's like 8 years older than my sister.
He takes care of his children (they have two) and he gives my sister and me lots of money.......
Imeniuma sana sana kuona anamcheat........
Naomba Ushauri wenu kabla sijamsemea
mambo ya ndoa za watu yaepuke......
The Boss hebu jaribu kufikiri kama ww ndio mume wa dadangu na unatuhudumia kwa gharama kubwa sana...
halafu kuna njemba ana mmega, ukija kujua utajisikiaje?? Na hii hatari ambayo mimi binafsi naiona, hivi kweli sipaswi
kuchukua hatua yoyote?!
Sio kuibiwa jamani, pengine mzee hafai na wameelewana na mkewe kuwa mie niponipo tu na wewe ukiwa na hamu kaipeleke mara moja moja.
hahahha! khaa! ila kuna wadada wehu nyie acheni2hujapata dada mwehu wewe
unaenda kusema....anafanikiwa kusamehewa na mumewe
anakufuata anakutukana hadi basi.
utakuja kuambiwa upewe wewe kitumbua kama inakuuma kikipelekwa nje
mbona mwenyewe haimuumi?
na ataanza fitna kwa mumewe hizo pesa unazopewa utazisikia kwenye radio....
hebu tafuta mke na njia za kuongeza kipato aisee
Bishanga yani hua kila nikisoma coments zako zina nifurahisha sana naanza kuwaza huyu bishanga atakua mtu waaina gani mana hasomeki kabisa kila sekta yumo teh teh tehBoflo,embu sogea nikunong'oneze.......... i am just assuming dadako hajui ID yako jf......kesho kanunue simu card kwa jina lolote au fungua e mail address kwa jina feki kisha mpe dadako link ya hii thread......akisoma bila shaka ujumbe utafika......in case akikuhoji look at her straight in the face kisha muulize ...'dada jf ndo mtaa gani?'.