I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?

Piga kimya. Mambo ya ndoa ni ya kwao,watamalizana wenyewe.
 

Kwa hiyo wanocheat kumbe huwa hawatosheki kwa wenza wao sio?
 


Pole kwa kuumia, ila kwa ushauri mzuri zaidi, kabla hujamwambia shem wako, mwambie kwanza dada yako. Ongea nae ili ujue ana shida gani kabla hujamwambia mumewe, but you should be very careful on the way you approach her coz right now she is possessed. Tchao
 
Kama unaishi kwa huyo shemeji yako unakula na kulala dada ako akitimuliwa wewe utabadili?
 
Mapenzi sio kitu kipya, mwanzo wake ni zamani!
Haya mapenzi, ni kitu gani eeh!
...Singing....
 
The Boss hebu jaribu kufikiri kama ww ndio mume wa dadangu na unatuhudumia kwa gharama kubwa sana... halafu kuna njemba ana mmega, ukija kujua utajisikiaje?? Na hii hatari ambayo mimi binafsi naiona, hivi kweli sipaswi kuchukua hatua yoyote?!
mkanye dada yako! Na mbona swala la gharama linakuuma sana isijeikawa unatafuta maslai zaidi kupitia makosa ya dada yako! ?
 
Talk to your sister about her behavior, tell her the disadvantages she will get after her husband knowning she is cheating on him.
 
Kikubwa sasa na wewe umekua
Oa uwe busy na familia yako
 
Sasa dada ako akipewa talaka huoni mtakuwa kwenye hali ngumu katika familia yenu ukizingatia shemeji yako ndo mwezeshaji. Lakini we Boflo na wewe unaishi kwa shemeji yako yako?
 
Last edited by a moderator:
dah! watu wamejitahidi kutetea uzinzi hapa!
mmmmmmh! ,mke inauma ........poor guy ni bora asijue.
ila kamsemee kwa baba na mama aonywe kimya kimya.
 
Talk to your Sister aache ukicheche,akiendelea mpotezee tayar ushaji withdraw lawama kama brother,na Kama unataka hao ma-uncle wawe raised na single Parent na wasipate shule nzuri n'k..mwambie Jamaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Boflo pole mkuu inauma usijaribu kumwambia shemeji yako zungumza na dadako huku ukimweleza madhara ya kucheat
 
Last edited by a moderator:
dah! watu wamejitahidi kutetea uzinzi hapa!
mmmmmmh!
,mke inauma ........poor guy ni bora asijue.
ila kamsemee kwa baba na mama aonywe kimya kimya.

umeona mkuu!!....halafu wana Jf wengi wanajifanya wana maadili saaaaana
 
kitanda usichokilala hujui kunguni wake,inawezekana unachokiona kwa shemejio ni picha tu ya nje,Pesa sio kila kitu katika ndoa.mwambie dada ako kwa hekima na busara hata asipokusikiliza ujumbe utakua umefika.usijaribu kumwambia shemejio maana bomu laweza kulipukia kwako.kaa mbali na ndoa ya dada ako usubiri nawe uolewe halafu wadogo zako wawe wanamwambia mmeo makosa yako.
 
Mchimbe Biti dada yako akupe ukweli,
Mtishie akikataa utamsemea.
 
nahisi unampenda shemeji yako, jilengeshe tu kama vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…