I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?


we binti yaelekea hujaolewa bado, na kwako wewe mume mzuri ni huyo wa sifa hizo unazozitaja kwa kuwa pengine anawasaidia sana financially. my dear sis ndoa ni 'package' ina mambo meeengi sana sana ambayo kama haumo humo ndani yawezekana usiyajue vizuri, usije ukamjudge dadako kabla ya kujua undani wa sababu za yeye kucheat, hivi unadhani hakuna anaependa kukaa kwenye ndoa nzuri yanye mafanikio? wakati mwingi usidanganywe na uzuri wa nje, some peole are good pretenders, mbele za watu anaweza akapretend like an angel kumbe ndani ana mambo yake ambayo ukielezwa hutakaa uamini. waswahili husema 'uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti' kaa na dadako mweleze ulivyoumizwa na tabia hiyo then mshauri aache kabla mume hajajua na kumueleza madhara unayodhani yatatokea endapo jambo hili litjulikana. kusema kwa shemejio kutavuruga uhusiano wao na utalta taabu kwa family yake i.e. watoto. ukiingia kwenye ndoa ndio utaelewa zaidi kwa nini watu wanacheat nje ya ndoa zao, na ubaya wa kuweka bayana mahusiano ya uhawara kwa wahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…