I declare it, I love you so much...

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,487
Reaction score
3,978
miss chagga, nina kila sababu yakukupenda. Nakumbuka mazuri uliyonifanyia ndani ya muda mfupi katika maisha yangu, nakumbuka sana sauti yako nzuri yenye kuvutia ajabu ikinishauri juu ya kujipanga kimaisha na kuachana na ulevi.

Nakumbuka sana jinsi usivyopenda mimi kunywa pombe, nimeanza kupunguza sasa na ninaamini nitaacha na kuja kwako rasmi nakumbuka sana nilivyokuona kwa mara ya kwanza, nafsi yangu iliufurahia sana sana uzuri wako.

Siwezi kusema yote hapa..:crying: naandika hapa kuutangazia umma wa JF kuwa ur the most beautiful woman to me, kuna siku utanielewa tu!

My silence means alot, I just give my self enough time....
 
Koh koh koh

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
dada aondoki home paka ulite Murano + pipa moja la Mbege....
 

Kha!Viroba unaweza ukajiona wewe Rais wa Nchi sasa kesho pombe zikitoka huwezi kuandi uzi unampenda Miss chaga
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kha!Viroba unaweza ukajiona wewe Rais wa Nchi sasa kesho pombe zikitoka huwezi kuandi uzi unampenda Miss chaga

usilolijua ni kama usiku wa giza..better u zipup
 
una karibishwa kwa mbwembwe zote....
tuna kumbusha Nissan Murano iwe ya kuanzia 2010

nimeanza kutafuta pesa miezi mingi iliyopita kwa ajili yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…