umeongea point
mi mzima sijui ww,nakumiss sanaha ha ha mzima wewe.....
tangu 2010,hao wametoka mbali hujui tuhuyu kaolewa na Paw since when?
asante sana kaka.
mi na wife tuko poa sana!!
Mkuu kumbe kule chelsea unajifanya mgumu ila huku mpole
Hahahahah...ugumu hukohuko chelsea akifika hapa anakuwa kondoo
Hahahaha.....do not underestimate the power of mapenzi....achana nayo kabisa haya makitu
Blanketi la mie shangazi usisahau.
kwangu sahau usije kabisaWe! Tengua kauli yako! Mi nakua kondoo?
Ntahamia kwa ICHANA au miss chagga au kwa shansarie Wa kiwatengu