OMG....!
Sijui ntajibu nini Leo?!!!!!
Utalala sebuleni
basi tutakuwa tunadanganyana
..ya kwako karibia tuipeleke kinondoni kuipumzisha milele..!
..ya mwallu pia natamani niiwekee doa lakini nashindwa coz Mentor mpole Sana..
. miss neddy yeye nimeshapata fursa, tutayamaliza hivi karibuni..
..ya kiwatengu ipo kwenye wish-list tayari.
amekusikia
shem we mchunguzi wa kujitagemea??