mapenzi yana msimu? acha hizo basi :cool2::cool2:
usilolijua ni kama usiku wa giza..better u zipup
mimi tu wengine magumashi
Mimi ni veterani, ila pia usihofu, vifunikavyo vyaliwa!, vyaachwa vilo wazi!, ingekuwa Tanga ningefight, lakini kwa miss chagga,khaaa Pasco naona keshachelewa kuazima material ..hahaa
watu wanabeba jumla
aya bhana kila la heriii.........
miss chagga unaitwa huku kuna moyo umekudondokea
Pasco wee ulie tuu
teh teh teh..huku kuna mavuno ya maindi
Naona tutakuja pigana risasi,ila ngoja nisome mchezo
Naona tutakuja pigana risasi,ila ngoja nisome mchezo