I dedicated my Monday to read this beautiful story

At least you have mentioned something similar to what Dustin's doing and not reymage alichofananisha eti Dustin ni kama Rambo au Sterling a kihindi[emoji1787][emoji1787]
[emoji38] maybe she's not familiar with such movies(vampires, wolves,shape shifters nd the like).
 
Asante sana iliyeleta link humu.
CHapter 278 sasa, lot more to come.
 
At least you have mentioned something similar to what Dustin's doing and not reymage alichofananisha eti Dustin ni kama Rambo au Sterling a kihindi[emoji1787][emoji1787]
We ushawahi ona Rambo au Shwaziniga akiua...maadui[emoji1787][emoji1751][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
[emoji38] maybe she's not familiar with such movies(vampires, wolves,shape shifters nd the like).
Hahaaa ..mi naogopa Yale madamu damu kwenye vampire ujue
The only tamthilia niliona ni Vampire diaries na sikumaliza yote
 
Kabisa.. Hii inahitaji commitment had I kuimaliza. Nimefika 383 hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nlivoona jina lako nimekauka mbavu .
You wish!..
Me nimefika ya mwisho naonA WAtu wanalia kweli huko kwenye comments Admini Apost..nshakua teja sasa.
 
habari...jamani me io novel kila nikisearch leo inanigomea..nimeishia chapter ya 140 tu
nenda novelebook.com utasoma vizuri sana bilq ya kugomea sasa wapo chapter 844. Hadithi tamu kweli kweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nlivoona jina lako nimekauka mbavu .
You wish!..
Me nimefika ya mwisho naonA WAtu wanalia kweli huko kwenye comments Admini Apost..nshakua teja sasa.
Ongera sana, Mimi bado kumaliza. Tutaweka novel nyingine uendelee kufaidi my dear.
 
Duh yan Nimekuwa addicted na hii hadithi bila kujali ugumu wa Lugha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kinge nakiona kama Kiswahili tu dadekiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Thank youuu ,be blessed mkuu,
ila huko huko nishadaka moja inaitwa My rich,hot and Infertile husband [emoji23]..
Ina vituko balaa sema mwanzoni sikuielewa haraka kama hii ulopost huku..

Sent from my SOV39 using JamiiForums mobile app
Sasa si utuwekee intro Ili nasi tuanze kufatilia. Mwenzako nipo addicted na Novel bado sijapata girlfriend ambaye namatch naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…