Kwanza nani kasema wao ni "waisrael" hii ni mizungu tu,Waisrael wa kweli hawakuwa na tabia ya kibaguzi kama hiyo, hata Ibarahim a.s baba wa Israel hakuwa mbaguzi, aliowa mwanamke mweusi wa Kiafrika(Haggar) na kupata naye kizazi, na kwa sababu hii inaonyesha, Waisrael hawana damu ya kibaguzi, hii Mizungu iliyowekwa hapo M.E, kufanya ufisadi inaonyesha wazi rangi yao na tabia zao za kizungu za kibaguzi, zilizoshabikiwa na makundi ya kibaguzi ya Ku Klux Klan.