Pole sana..........
Huo uaminifu umeupotezea wapi?
Kuna binti mmoja nimesikia akisema ameuokota.
Uaminifu kwenye ndoa upo 'Kiimani zaidi' ...ugumu ni kutojua aliwazalo mwenzio...hivi kweli kuna mahusiano ambayo yana uaminifu 100% jamani? namaanisha watu wanaanza mahusiano, wanaoana na kufa bila kusalitiana?
kama yapo ni kwa asilimia ngapi? na tafadhari hebu nipeni siri ya mafanikio?
je unapaswa kumwamini partner wako kwa asilimia ngapi?
maana sasa nimepoteza uaminifu kabisa sasaaa
usidhubutu mwaya! ni dhambi kubwaa!so does it mean kuchakachuliwa au kuchakachua nje ya ndoa ni normal ....na si dhambi
so does it mean kuchakachuliwa au kuchakachua nje ya ndoa ni normal ....na si dhambi