I dont believe uhaminifu katika mapenzi 100%

Pole sana..........

Huo uaminifu umeupotezea wapi?

Kuna binti mmoja nimesikia akisema ameuokota.

Babu...babu..babuuu! Haya bwana, ukiambiwa utoe ushahidi mahakamani?
 
kukiwa na uaminifu 100% then huo utakuwa sio ubinadamu...huo ni umalaika ndo mana binadamu tumeumbwa kusahau, kusamehe na kuendelea na maisha.


mmmh nyie ambao mmanyumba ndogo bana kwa kujitetea!!!!! unaingiza mpaka maneno ya dini wewe hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…