I don't know if it is a serious problem, please help

Malumbizo

Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
47
Reaction score
6
Nimekaa boarding miaka minne bila kufanya mapenzi; nilipomaliza form 4 nikarudi zangu home mara nikawa na mahusiano na msichana mmoja. Siku yangu ya kwanza kufanya naye mapenzi nilishindwa kwani nilipoanza kumchezea nikajikuta nimelowa mwenyewe kabla sija swich on machine.

Je, hili ni tatizo?

Naombeni ushauri
 
Uliwahi kufanya zamani? Hadi hapo hakuna ubaya lakini...
 
Usifanye mpaka uoe la sivyo utapata UKIMWI.
 
Ni hofu tu hiyo, hakuna tatizo. Jaribu tena baadae
 

umeshafunga nae ndoa.!?? Kama bado basi ilo ndo tatizo hakikisha unamuoa kwanza ndo muanze kuchezeana la sivyo utajikuta unalowa mwenyewe kila siku kabla huja switch on machne..
 
Sasa ulipo lowa hujaunganisha cha pili mbona wengine huwa tunaunganisha na cha pili pale pale, kiasi ya kutune music wa dushelele tu, afu unanza upya na speed mpya.

Next time bora ukatembelee sehemu za inyoga piga asali mpaa uwe na akiba ya asali ya kutosha kwenye mzinga wako, mana wanawake wanapenda uwalambishe asali sio kijiko kimoja tu afu unalalamika watakuona sooo.
 
Sio Tatizo ni wewe hujiamini kama unaweza

Sikuhamasishi ushiriki mambo hayo kabla ya wakati, Fikiria hilo lingekutokea wakati umeingia kwenye ndoa, Ungemwacha mkeo?????
 
Hilo ni tatizo ambalo kitaalam linaitwa premature ejaculation, kuna sababu nyingi ambazo zinaweza kusababisha hilo tatizo kama kuwa mwoga na kutojiamini kama unaweza kufanya hilo tendo.Chakufanya ni unatakiwa ujiamini kama unaweza kufanya,pia chukulia kama ni tendo la kawaida wangapi wamejaribu wakaweza na wewe pia utaweza ukijiamini, kwani ile ni nyama tu hakuna kitu chochote na yule anakunya na kujamba kama wewe hivyo hakuna haja ya kuogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…