I don't want a married man in my life

Ila strategy yako ni nzuri sana...

Sababu unapetengeneza mazingira ya upinzani ndiyo people will try harder to get you, mwisho wa siku utaangukia kwenye tundu bovu...

Ariana leo kawa Unique flower...

Members wapya wana tabu...


Cc: mahondaw
 
People people do not waste my time and energy write in english if you hate me so much you can't even speak english how will you write a proper english 😂😂😂😂😂
 
I bet utakuwa na miaka between 18 to 25.
Yes your right kusema hivyo kwa age hiyo.

Kuanzia 26 kwenda mbele utajua thamani ya married men.

Kula ujana kwa sasa tukutane ukifikia 26 onwards.
 
A lot of people dont understand you thats why they are mad at you, but I understand you.

I understand that.. with that kind of attitude, you dont deserve a man.
 
A lot of people dont understand you thats why they are mad at you, but I understand you.

I understand that.. with that kind of attitude, you dont deserve a man.
I dont deserve a man 🙄🙄🙄🏏
 
Write in English Swahili rubbish rubbish no i dont understand anything your writting [emoji3037][emoji3037][emoji3037] i will punch you in the face of yours rubbish
Bahati mbaya kwako.... Nzuri kwangu.... Ninakufahamu nje ya Jamii forum
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba ulitafuta mchumba humu wakaja waume za watu au mimi ndio sijaelewa kinachoendelea?[emoji134]
Hahahhaaha
Auntie ndio hivyo ulivyoelewa ujue

Ana thread yake ya mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…