I hate this word ''BABY'' ktk mapenzi.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Yani unakuta kasichana kadogo kanaliita zee zima tena mbele ya kadamnasi eti my Baby,zee nalo lnakua comfortable kabisa..

Ndiyo maana walisema "mapenzi hayana cha umri". Sasa wewe unashangaa nini hapo?

Natabiri kwamba demu wake hajawahi kumuita kwa jina hilo ndo maana mdau anashangaa!

Yani unakuta kasichana kadogo kanaliita zee zima tena mbele ya kadamnasi eti my Baby,zee nalo lnakua comfortable kabisa..

Kama hujui mapenzi, naye ndiye akunzaye je akwiteje?

Yani unakuta kasichana kadogo kanaliita zee zima tena mbele ya kadamnasi eti my Baby,zee nalo lnakua comfortable kabisa..

Kama hujui mapenzi, naye ndiye akufunzaye je akwiteje? Student?

Natabiri kwamba demu wake hajawahi kumuita kwa jina hilo ndo maana mdau anashangaa!

me wangu huwa ananiitaga mtumishi wa mungu,ndo maana nashangaa mkuu.

we ulitaka waitane vipi?
au waitane baba chanjaa weee lol

Umeshasema aneitwa anakua comfortable...sasa wewe tatizo lako nini?!

...am comfortable with it, soulmate wangu analitumia sana hili tena na sauti yake ilivyo tamu, raha kweli!
kutafsiri neno kwa neno hakuleti maana ya sentesi..

"being called a monkey doesnt make you a monkey!"

Jamani sasa ulitaka amuita ATM? Hamna kitu napenda na na appreciate kama to be called using sweet names like "baby'; "sweety" "mpenzi", "honey". Na mimi natumia sana haya maneno tena kwa mwendo wa kubadili badili maana ukitumia neno moja tuuuu kila siku inakuwa hakuna uzito ni kama ku replace jina na nick name. Tatizo ni kuwa hata wanangu nao wanatumia hayo maneno kwani hawajawa na akili wanajua ndio majina yetu.

Dah! Umenikumbusha Sweetie... Sijaitwa baby kwa masaa machache na tayari i feel love sick...

Yani unakuta kasichana kadogo kanaliita zee zima tena mbele ya kadamnasi eti my Baby,zee nalo lnakua comfortable kabisa..

pole sana mkuu inaonekana ujapata bahati yakuitwa mtoto tena kimahabati..

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…