I hate this word ''BABY'' ktk mapenzi.

Dah! Umenikumbusha Sweetie... Sijaitwa baby kwa masaa machache na tayari i feel love sick...

Ukweli hilo jina likitumiwa kwa uhalali bila kuwa na 'hidden agenda' ni tamu sana. Napenda kuitwa hivyo pia.

Dah! Umenikumbusha Sweetie... Sijaitwa baby kwa masaa machache na tayari i feel love sick...

asha d,kesho ntakuja kula pilau,sawa baby....so umeridhka?

mbona sio hilo tu,
baby, kuna namna ya kulitaja hadi unahisi uko mwenyewe duniani
beibei, bebieee, jamani babiiii!! Hapo ukutane sasa na sauti imekwenda shule kama ya Yahabibi wangu, anaongeza na vionjo vingine, kama

honey
sweetie
darling
lolipop
my sweetheart

ohhhhh!! Hakuna raha kama kuitwa vizuri na mahhabuba wako.

Ukweli hilo jina likitumiwa kwa uhalali bila kuwa na 'hidden agenda' ni tamu sana. Napenda kuitwa hivyo pia.

Na hasa umpate ajuae kulitamka...lol

my baby! My sweetheart!,honey!,my love!,my angel!,my qeen!,my darling! My boo!.MANENO MATAMU SANA HAYA KTK MAPENZI HASA KWA WAPENDANAO KWA DHATI,KWA WANANDOA YANAPOTUMIWA HUDUMISHA SANA UPENDO.

Kweli kabisa.yaani unaitwa kwa sauti laiiiiiiiiiniii! huku kabana pua kwa mbaaaali! Raha iliyoje,hapo unasisimkwa mwili mzima.

Hello baby utarudi saa ngapi? Mwenzio nimekumiss. Plz usichelewe baby. Okey byeee, take care baby mwaaaaaaaaaa!
Mapenzi sanaa bwana, and that is what make it to be called love.

Hilo la kwenye red kwa sisi wa enzi za mwalimu Mh. Lina sound kitoto zaidi. Hilo kwa mimi nawaachia wamarekani.
my baby! My sweetheart!,honey!,my love!,my angel!,my qeen!,my darling! My boo!.MANENO MATAMU SANA HAYA KTK MAPENZI HASA KWA WAPENDANAO KWA DHATI,KWA WANANDOA YANAPOTUMIWA HUDUMISHA SANA UPENDO.

sa huon ka unapigwa changa la macho hapo mkuu?

Yani unakuta kasichana kadogo kanaliita zee zima tena mbele ya kadamnasi eti my Baby,zee nalo lnakua comfortable kabisa..

i don't think its wrong 2 call the 1 u love baby.

We uliskia beberu na c babyy!!!

karibu sana fais buku, nakuona unakuja mdogo mdogo hapa jamvin, naona umejinga jana,jisikie upo nyumbani homie! ni matumaini utakuja na michango mizuri hapa.

Yani unakuta kasichana kadogo kanaliita zee zima tena mbele ya kadamnasi eti my Baby,zee nalo lnakua comfortable kabisa..

Wewe ulitaka hilo zee waliite BARUBARU? kama hayakuhusu Potezea!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…