Itakuwa safi. Nibora umtu anaesema ukweli kuliko anaye jificha. . . .ever been told that?
Kama ambavyo watu hua wanatamani kuambiwa "NAKUPENDA wewe" na kufurahia wanapoambiwa hivyo. . .je ni vipi ikiwa kinyume cha hapo? Ukiambiwa "NAKUCHUKIA wewe" na mzazi wako/mtoto wako/mwenzi wako/ndugu yako/rafiki yako utajisikiaje?
Hii kauli naipenda sana lakini sina bahati ya kuambiwa aisee!
Hii kauli ukiichukulia as a challenge, basi ni kauli bora kuambiwa duniani. I love u nyingi zinaambatana na ulaghai hazitoki moyoni lakini I hate u mara nyingi inakuwa real
I hate you Kongosho. . .I wish had never sign up on JF or been a chit chatter because you are apart of it. NAKUCHUKIA!!Lazima nyongo itumbukie
ila kuna maneno ya kuchunga sana kusema ukiwa na hasira, yanaweza kugharimu pakubwa sana.
RussianRoulette, Purple
Wakati mwingine mtu anaweza hata akadhani anamaanisha at the moment. Nakumbuka mimi niliwahi kufikiria kua namchukia bibi yangu siku moja sababu alinichapa. . .sikusema mtu akanisikia ila nilijinong'oneza all the way into the house "Nakuchukia. . .nakuchukia. ." sema baadae nikagundua ilikua ni hasira tu.
Pale mtu anapokua na ujasiri wa kukutamkia live kuna mawili. . .either anataka uumie au anakuchukia kweli.
Eiyer. . .
Kama nayo itakua ya ukweli sasa. . .inaweza ikawa rusha roho tu.
. . . .ever been told that?
Kama ambavyo watu hua wanatamani kuambiwa "NAKUPENDA wewe" na kufurahia wanapoambiwa hivyo. . .je ni vipi ikiwa kinyume cha hapo? Ukiambiwa "NAKUCHUKIA wewe" na mzazi wako/mtoto wako/mwenzi wako/ndugu yako/rafiki yako utajisikiaje?