I have 200,000 USD

Msengapavi

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2008
Posts
8,819
Reaction score
7,638
Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!
 
mkuu unataka biz idea?

mimi ninayo lakini iko patented, niko serious if you wanna talk tutafutane.
 
Tuliza ball
Utaibiwa sasa hivi upatwe na strock

mjini hapa we weka banki fixed

interest ya miezi mitatu ni pesa nzuri sana ..
subiri baada ya miezi mitatu.

sasa chukua hiyo pesa ya interest ya miezi mitatu ya kwanza then mtafute
faiza foxy akuandikie business plan ya mradi ambao utatafuta partners wa nje muinie ubia then sasa hapo ndipo utakapoweka hata 100,000 usd ili na wewe uwe na asilimia kadhaa za umiliki wa huo mradi huku ukiacha partners wakiweka lets say

usd 2 millions


na biashara ambayo mie ningekushauri kuifanya ni
UVUVI yes uvuvi tuna maziwa , mito na bahari Uvuvi ni bonge la business ila hakuna mtu aliyeshtukia


so tafuta andika mradi, tafuta investors nunueni MELI yes MELI

muanze kazi

kununua meli tembelea hapa

SHIPS FOR SALE


halafu ni pm unirushie vocha ya kukupa consultation

hahahaha just kiddin...
 
Last edited by a moderator:
C.T.U Naomba niwe tofauti kidogo na wewe kwenye uvuvi, hivi kashfa ya mapanki Mwanza ilitokana na nini? Huku Kilwa Wacongo wanahamisha dagaa mchanga kila siku, au Kilwa sio Tz, hivi Magufuli alikamata meli ktk bahari ya Msumbiji? Mkuu, kwa taarifa yako, samaki wanavuliwa ile mbaya, iwe ziwani, mitoni( nenda kilombero uone kilio cha Wandamba),baharini na visimani !!!!.

Ila kwa idea ya kuvua majongoo,pweza,kamba kochi na ukasafirisha nje, inalipa vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa napenda wazo uvuvi na hata kuweka the sum kwenye fixed deposite. Lakini mwalionaje wazo la ufugaji wa samaki, ambalo labda si lazima lihitaji kiasi chote hicho (meaning waweza kuweka salio kwenye fixed deposit); hebu tujadili hili na mawazo mengine mnayoweza kuwa nayo.
 

mkuu swala la uvuvi ni kweli samaki wanavuliwa ila sio kwa kiwango ambacho sie tunatakiwa kukifikia...

kwanini Norway na Japan uvuvi umeshamili??

kwa sababu tu wenzetu hawavui kwa vimtumbwi

kwanza ukiwa na meli unauwezo wa kuvua samaki wengi zaidi trip moja tu wewe ukipiga unajaza ferry zima

utaua biashara za wavuvi sawa ila this is business mwenye kisu ndio ale nyama


ila hata idea yako ni nzuri sana naikubali hii biashara ya kuuza pweza, jongoo na kamba kochi
 
Wewe ni tapeli dola laki 2 eti hujui ufanye biashara gani ulizipataje? Tapeli huyu mwisho wa siku atakwmbia ntumie vocha peleka ungese huko

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Good opprtnty.... Change into Tsh /- halafu nunua Flat, Halfu Uza Flat,Halafu nunua Nyumba,halfu Uza Nyumba halfu nunua uwanjaa weka geti kodisha as parking yard. HONGERA mkuu...Commision yangu 1.02%
 

Tafuta maeneo yenye vitalu vya aidha almasi, dhahabu au madini mengine

nenda wizara ya nishati na madini pale watakuonyesha maeneo yale

ya study vizuri andaa $5,000 - $20,000 ya kuandika huo mradi hapo pia kuna gharama za consultant, business plan writer wako, mtu anayekusaidia kufanya feasibility study, nauli ya kwenda abroad kuongea na mwekezaji ambaye atakuwa kapatikana
(best conversation of all time ni conversation ya face to face)

tafuta mwekezaji wa kuingia ubia nae ukiona kuna uwezekano wa kupata mwekezaji nunua kitalu hiko
muingie ubia na muwekezaji mchimbe

baada ya miaka mitatu unipe lift kwenye evogue yako
 
Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!

If you can have tour vehicles i.e at least one coaster, one hiace and a couple of cruisers we can form a great tour firm. I will get the tourists. That's the starting point, from there you acquire more vehicles as the business grows. We add caravans and tented camps i.e for use in areas that have few or no hotels. Tanzania will become one of the greatest tour destinations in the world with the right kind of marketing. Sky is the limit. Start small grow fast. Now where is the 200k?
 
Wewe ni tapeli dola laki 2 eti hujui ufanye biashara gani ulizipataje? Tapeli huyu mwisho wa siku atakwmbia ntumie vocha peleka ungese huko

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

mkuu dolla laki 2 ni ndogo sana ngoja nikupe mfano. kilo 1 ya cocaine ukinunua tz ni million 45-50 lakin ukiuza nje ni billion 1 na million 500.
hivo ukiuza kilo 1 tu umeukata.
usiulize amepata wap pesa. pesa mbona zipo tu
 
Kaazi kweli kweli wengine walia Njaa wengine wana Cash hawajui wafanyie nini duh!!!
 


..Mkuu CTU, wakati hapo pa kumuomba tajri vocha pamenichekesha..:smile-big:...hapo pa kuweka pesa fixed Account Pamenisisimua.

Kwa uzoefu wako ni Bank gani ambayo sasa hivi ina faida nzuri na kiasi gani say ukiweka Milioni Mia 2 za Kibongo kwa hiyo miezi Mitatu?
Natanguliza Asante.
 
Last edited by a moderator:
msukule mkubwa wewe!

umepataje hizo dalari laki2?? zimeshuka tu? umekwapua?? umedhulumu???? sembe???

basi endelea na biashara yako hiyohiyo iliyokusaidia kuzipata hizo pesa na sio kuja kuleta usukule wako hapa au kusanifu watu hapa!!


Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!
 
Wewe ni tapeli dola laki 2 eti hujui ufanye biashara gani ulizipataje? Tapeli huyu mwisho wa siku atakwmbia ntumie vocha peleka ungese huko
wewe niite tapeli lakini yuko mtu katika janvi hili atafaidika kwa kuwa na mtazamo chanya. stay negative and continue slumbering in beds of mediocrity! Let progressive and positive minded people progress to highest ideals in life!
 
Hilo jema, tuchekeshane na kuambiana ukweli; tusitukanane na kuzuia maendeleo. tayari nimeshapata good ideas from your contribution and someone is going to benefit!
 
mkuu dolla laki 2 ni ndogo sana ngoja nikupe mfano. kilo 1 ya cocaine ukinunua tz ni million 45-50 lakin ukiuza nje ni billion 1 na million 500.
hivo ukiuza kilo 1 tu umeukata.
usiulize amepata wap pesa. pesa mbona zipo tu
Ni kweli lakini ningeprefer a legal business. I dint want to end up like masongage, I don't even have the time for that kind of business. Thanks, but no thanks!
 
Hii ni nzuri, let me think about it and will get back to you soon!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…