I have nowhere to report Uber theft, harassment, fake trip transport fees

I have nowhere to report Uber theft, harassment, fake trip transport fees

Yoranda

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
341
Reaction score
338
Hawa madereva wanakuonyesha screenshot, bei ya uongo.

Nilimuomba nione bei na ramani ya safar akakataa na akaficha simu, bei aliyotaja Mara ta3 ya bei ninayolipa siku zote hata ikizidi au kupungua ni kias kidogo Sana.

Cha kunishangaza nimetafuta Sana pa kusema hakuna.

Uber drivers has established theft mechanism, screenshooting an already trip made. They force payments and frankly speaking in Tanzania we got no reason to confront. We expect to report but I find nowhere to report
 
Hawa madereva wanakuonyesha screenshot, bei ya uongo...

Nilimuomba nione bei na ramani ya safar akakataa na akaficha simu, bei aliyotaja Mara ta
Mwambie akupe stakabadhi ikionyesha umbali ulio safini na jumla ya bei alio kutoza. Na kisha ukaripoti polisi ikiwa tu utajiridhisha kwenye Google map kwamba umbali ulio safiri nabei ulio tozwa sio sahihi.
Au wapigie kwa 0784 700 299/0754 303 076
 
Pole sana mdada ndio tabia za kiswahili izo ila si bado office za uber zipo bongo au wamefunga ? Unaweza ukawa pelekea lalamiko lako then i hope wata kusaidia. Pole sana.
 
They are deliberately prolonging trips by pretending to get lost and wandering around wrong routes at unnecessarily low speeds which all together extend time and mileage. At the end they behave rudely and harass passengers.

Something must be done by the regulatory system before thieves or passengers are more endangered.
 
Si uangalie receipt kwenye email yako , mbona mnakuza Mambo.


Angalia risiti kwenye email yako Kama huoni email mwambie hulipi Hadi uone email. Kikawaida ukifika destination lazima upate invoice ya trip yako ndio ulipe. Sasa Nyie mnaoneshwa screenshot mnabaki kulialia tu.
 
Hawa madereva wanakuonyesha screenshot, bei ya uongo...

Nilimuomba nione bei na ramani ya safar akakataa na akaficha simu, bei aliyotaja Mara ta3 ya bei ninayolipa siku zote hata ikizidi au kupungua ni kias kidogo Sana.

Cha kunishangaza nimetafuta Sana pa kusema hakuna. Uber drivers has established thieft mechanism, screenshoting an already trip made. They force payments and frenckly speaking in Tanzania we got no reason to confront. We expect to report but I find nowhere to report
Haupaswi kulalamika kuwa huna namna ya kutoa malalamiko yako wakati hata hujauliza kama wengine wamefanikiwa kufanya hivyo au la.

Uber sio waswahili kama unavyowadhania....mi nishazinguliwa na drivers mara kibao. Wengine nilikataa kuwalipa wanachokitaka nikaishia kuwalipa nnachojua mimi ni sahihi...na wengine niliwalipa kisha nikawa-report na kurudishiwa hela kwenye acc yangu ya Uber
20201222_001441.jpg
20201222_001509.jpg


Now....jinsi ya kufikisha malalamiko yako...

#1...Ingia kwenye app yao.
#2...Bonyeza kwenye hiyo mistari mitatu.
20201222_002102.jpg

#3...Chagua HELP.
20201222_002140.jpg

#4...Get Trip Help
20201222_001337.jpg

#5...Trip Issues & Refund
20201222_001157.jpg

#6...Chagua option inayoendana na lalamiko lako ....
20201222_001259.jpg

Ukoshawaandikia watakujibu so jiandae kujibu maswali yao na vielelezo then kama kwenye dereva kakuchezea utarudishia hela yako kwenye acc yako ya Uber kwa matumizi ya baadae .
 
Sijawahi kutumia uber tangu ianze Tz. Ila kwa nje ya Tz najua ramani anayoiona dereva na mteja inaonekana hivyo hivyo, na gharama inaonekana kwa mteja kabla hata ya kwa dereva. Tz inakuwa aje unafuata unachoambiwa na dereva?
 
Ila madereva wa uber bongo ni kichomi. Wanaleta janjajanja mingi ili kujipatia pesa zaidi. Wanakuwa wezi mno. Mara aje dereva au gari tofauti na visingizio kibao. Sijawahi kuona upuuzi huu nje ya nchi.
 
Si uangalie receipt kwenye email yako , mbona mnakuza Mambo.


Angalia risiti kwenye email yako Kama huoni email mwambie hulipi Hadi uone email. Kikawaida ukifika destination lazima upate invoice ya trip yako ndio ulipe. Sasa Nyie mnaoneshwa screenshot mnabaki kulialia tu.
Huyu hajafaham kuwa uber wanatuma emails kuonyesha mchanganuo wa gharama ya mda,umbali na total....May be ktk registration hajaweka EMAIL YAKE LABDA
 
Back
Top Bottom