I have only one dear wife - Kibaki

I have only one dear wife - Kibaki

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,147
CHEZEA MAMA KIBAKI UONE PICHA MBELE...!

 
Last edited by a moderator:
Mama hana muamana huyu...anaweza fanya kituko chochote hapo!
 
Mama hana muamana huyu...anaweza fanya kituko chochote hapo!

Aaah acha tu ndugu yangu,huyu mzee kazi anayo maana ameburutwa mpaka infront of the camera to speak "the truth" kwamba hana "nje cup"
 
Inaonyesha walikuwa wanapigana mama akitaka kutambulishwa kuwa ndie mkewe ili vinyamkera vitulie. Haya KAKA Mkubwa na wewe copy and paste kama utaweza.
 
Nimecheka sana, kwanza huo mkanda wa mama,halafu mama alivyokuwa anapumua wakati Mr wake anatoa speech.Huyu mama inaonekana ndiye anaongoza kenya
 
Mama hatabiriki kama hali ya hewa ya Dar es Salaam!!! Aliwahi kuchapa makofi mwandishi wa habari kama mwanasesere🙂
 
Halafu anaongea baada ya RAIS kuwa kaisha aga kumaliza mazungumzo na waandishi!! Mama bado anachonga na KUTISHIA KABISA!!!!

Mama MTAMBO HUYU KWAKWELI......LUCY KIBAKI🙂
 
Mimi bado najiuliza hivi kabla hawajaja kwenye media mjadala ulikuwaje?

"utaenda kusema au hapana, usipoenda kusema utaona nitakachokufanya, naona umenisahau, subiri, wewe baba nanihii unanisikia lakini? Urais ni wako na hao wengine, ila mie najua mimi ni mkeo basi, sasa tunaenda au hatuendi? dereva, derevaaaaa, uko wapi?"


Kaazi kweli kweli, chezea mke wa Kikeii
 
  • Thanks
Reactions: ral
UUUUUUUUUUUUUUUWI,HANDSOME BOY WETU NAE afte nyayo kama hawakuibuka mpaka wa makaburini!RIP mama rahmantoto
 
Hilarious. Tunasubiri bi mkubwa salmon ops sorry, excuz me salma kikwete to un raffle.
 
Back
Top Bottom