Mimi bado najiuliza hivi kabla hawajaja kwenye media mjadala ulikuwaje?
"utaenda kusema au hapana, usipoenda kusema utaona nitakachokufanya, naona umenisahau, subiri, wewe baba nanihii unanisikia lakini? Urais ni wako na hao wengine, ila mie najua mimi ni mkeo basi, sasa tunaenda au hatuendi? dereva, derevaaaaa, uko wapi?"
Kaazi kweli kweli, chezea mke wa Kikeii