I just got a new baby boy!!!!!

I just got a new baby boy!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
933
Wakuu M/mungu ashukuriwe,leo nimepata mtoto wa kiume,but bado wife bado hajaruhusiwa kutoka hospital AMANA.
Thanks god.
 
.......Wow!! Many many congratulation to you all........welcome to the world little man.
 
87.gif
 
si mbaya kuwahi vipimo vya DNA kungali mapema... all in all congrats are in order...
 
Hongera mkubwa make sure unamlea mtoto katika njia impasayo
 
hongera sana.na mpe hongera mama watoto,maana ukijifungua salama,unashukuru
 
Hongera sana spika lol..............nakumbuka mbali sana. anyway mpe bi mkubwa pole sana kwa maumivu na Mungu awakuzie mwanenu. Mumlee uzuri aje awafae baadae.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu M/mungu ashukuriwe,leo nimepata mtoto wa kiume,but bado wife bado hajaruhusiwa kutoka hospital AMANA.
Thanks god.

hongera sana,tena sana mkuu,Mungu akubariki sana.
 
Hongera..hii nikipimo tosha jinsi ulivyokuwa unajituma kwenye ukumbi wetu.
 
Back
Top Bottom