CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
- Thread starter
-
- #21
mkuu vp tena, upo baa gani mida hii? Bia ya ngapi hiyo?
Hongera..hii nikipimo tosha jinsi ulivyokuwa unajituma kwenye ukumbi wetu.
Wakuu M/mungu ashukuriwe,leo nimepata mtoto wa kiume,but bado wife bado hajaruhusiwa kutoka hospital AMANA.
Thanks god.
Thank you my dada wa ukweli!hongera
Usikonde mkuu!Da Jembe jipya ndani ya Jamii Forums Hongera sana Comrade usisahau kumshawishi awe mdau wa hii kitu,zaidi Mungu ampe maisha marefu Mwanao
hongera sana Spika
Congs for a baby boy.
Thanx na kila la kheri Comrade SpikaUsikonde mkuu!