CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
- Thread starter
-
- #61
mwambie mtoto nae ajoin JF
Da Jembe jipya ndani ya Jamii Forums Hongera sana Comrade usisahau kumshawishi awe mdau wa hii kitu,zaidi Mungu ampe maisha marefu Mwanao
Thx every body.
My new boy sasa nimempa jina rasmi(IKRIMA)ila anaonekana shalobalo shalobalo hivi lol!
Senki yu vere machi!hongera unanitamanisha kurudi labour mara ya pili Mungu ambariki akue katika hekima na maadili na kumpendeza Mungu.mleeni katika njia inayostahili Mungu awatangulie katika malezi hayo amina mbarikiwe wote
si mbaya kuwahi vipimo vya DNA kungali mapema... all in all congrats are in order...
Halafu wewe, DNA ya nini kitanda hakizai haram mkuu!
Hongera spika!
teh teh teh, ni angalizo tu mkuu, there is alwayz a small chance that 'the unexpected might actually happen'..
Thank you a lot!may all the precious little moments warm your heart forever...congratulation on the new arrival!