Leo nipo job hapa hamna kazi, mizigo imechelewa kutoka bandarini so leo kuchat tu..Sasa nikawa nawaza hivi binadamu tungekuwa tumegawanyika kama ilivyo weusi na weuspe katika muktadha wa kwenda chooni, yaani ingekuwa hivi kwamba kuna baadhi ya binadamu hawaendi haja kubwa na wengine wanaenda si hao ambao wangekuwa hawaendi wangekuwa wanawatesa sasa hao ambao wanaenda?
I just wonder tu.