I Know you aint virgin,but itoshe sasa, BE A MAN BRO

INAUMA SANA YANI UNAOA MWANAMKE AMBAE AMELALA NA WANAUME KAMA 20.KUNA LIPI JIPYA UTAFANYA AWASAHAU HAO WANAUME WOTE KWA PAMOJA???

BORA WAZEEKEE NYUMBANI TU KULIKO KUOA MWANAMKE WA AINA HII
Labda awe hajaliwa ndogo wewe ndio ukatoe bikra hapo lazima uwe wa tofauti na wote hao 20......
 
🤣🤣🤣aisee we are differ et mkuu
 
INAUMA SANA YANI UNAOA MWANAMKE AMBAE AMELALA NA WANAUME KAMA 20.KUNA LIPI JIPYA UTAFANYA AWASAHAU HAO WANAUME WOTE KWA PAMOJA???

BORA WAZEEKEE NYUMBANI TU KULIKO KUOA MWANAMKE WA AINA HII
kuna pisi kali moja back then nikiwa university morogoro iliwahi kuniambia wanaume aliotembea nao ikiletwa abood bus moja hawatoshi wako watakao kosa siti.
 
aiseee🤣🤣🤣
 
Nyie wa zamani mlikuwaje babu?
tundu analotokea binadamu hawezi shindana nalo halichakai halibadiliki na sio sabuni mwambie

daVinci XV

hata ninyi mkifikia wa zamani mtaona ni ya kawaida kwani zafanana kila pembe, iliyochakazwa na mpya, hata kina Suleimani waliziacha
 
Tafsiri kwa kiswahili utaelewa tuu
Broh "beating a guitar?" kweli ulidhamiria kuandika vile au direct translation kutoka kiswahili kwenda lugha ya malkia ndio imekupoteza?

Nenda ka edit basi kabla wengine nao hawajaona.
 
Si unajua lugha yenyewe ilikuja na meli mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…