Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Omg!....this Cd album ya Whitney Houston is banging yaani i am loving it..Finally WH is back though she has never left (nimemiss sana huyu mwana mama ni anajua sana kuimba na bado yuko gado....ana sauti kama kasuku dang)....kama hujanunua nakushauri kama ww ni mtu wa R&B like me go get it...it does worthy alafu bei poa kabisa aisee!......11 songs from beggining to the end huchoki kusikiliza wala forward....
My favorite songs
I look to you
Salute
Nothing But Love
Like i never left fet Akon.....
dang naona i like them all!.....
go check it out.....borders unapata for only $11.00
thanx i will get my copy,
bado hawajacrack tu?🙄
get the original bana,
bado hawajacrack tu?🙄
Bado manawane...suiniangushe bff!.....kwanza ni better kuwa na original..."quality"...
sasa youtube utakuwa unasikiliza hata ukiwa kwenye gari?...mwanane acha ubahili hivyo.....haya nitakugaia umasikini basi i will buy you a copy!...
Thanks my dear.....you know what i want before I even tell you!
hebu cheki na TNT chap chap, thank u immeasurably!
Nicheck na TNT time gani sasa mwanawane huja specify.....
Ooh yeah i do know what you what and it will be done soon!..usikonde basi mwanawane!...hiyo haina shaka kabisa.....
Lakini sauti yake umeionaje ukilinganisha na miaka ya 90? naona kama ipo kinamna quality yake sio ki viile...
she haven't changed that much though!...sauti naweza kusema imebadiliska kwa sababu wakati ule alikuwa bado young...sauti ilikuwa bado nyororo...ni kama akina Usher/bow/chris brown si unaona hata wao suati zinabadilika kwa jinsi wanavyokuwa old.....
mhhh.mmmh mbona ywa kwako kelly is getting better and better? Mi nadhani tule tudawa tumemwathiri kwa namna moja au nyingine!
mmmh mbona ywa kwako Kelly is getting better and better? mi nadhani tule tudawa tumemwathiri kwa namna moja au nyingine!
Hahahahahaah!....mimi nakunywa chai ya tangawizi kila siku nziyo maana bado ipo soft kabisaaaa...manake unasinziaga kila siku kwenye simu unaudhigi sana BFF!.....Ok issue ya madawa she has been clean though for 1 and hald now...so lazima sauti pia imepigwa msasa...
hahahahahaah!....mimi nakunywa chai ya tangawizi kila siku nziyo maana bado ipo soft kabisaaaa...manake unasinziaga kila siku kwenye simu unaudhigi sana bff!.....ok issue ya madawa she has been clean though for 1 and hald now...so lazima sauti pia imepigwa msasa...
mhhh.