I look to you!!


yeah sema ndiyo hivyo a lot of her note zipo chini kama navyosema may be kutokana na age...si unajua sauti zinakwenda zinabadilika kutokana na unavyozidi kukua mkubwa?....weeeh ule "I will always love you"...jamani that was the song...nilijaribu siku moja na miye kuimba namna ile nusu nipaliwe hahahahaha!....

I know honey!...you always sifia my voice hadi bichw alangu limeshakuwa kubwa sasa mmh!......

umeusikia ule wa "i look to you?...

As i lay down
Heaven hear me now
I'm lost without a cause
After giving is may all

Winter storms have come
and darkened my sun
after all that i've been through
whon on earth can i turn to?

I loo to you,I look to you..after all my strength is gone..In you i can be strong....

I look to you,I look to you,and when melodes are gone,In you i hear a song..I look to you


yaaniwee acha tuu!....
 
Last edited:
Vipi mkuu?hapa tunaenda kwa dataz tu..LOL

hahahahahahahah!....you are crazy you know...umenifanya nicheke sana tuu...and still laughing mpaka sasa....

soft voice sometime watu hurithi kutoka kwa wazazi..


Oh yes miye nimerithi kwa my mom!...she sings kanisani though.....hadi leo hii....suati yake inamtoa nyoka pangoni...
 
hahahahahahahah!....you are crazy you know...umenifanya nicheke sana tuu...and still laughing mpaka sasa....




oh yes miye nimerithi kwa my mom!...she sings kanisani though.....hadi leo hii....suati yake inamtoa nyoka pangoni...

isije kuwa sauti yake inawatoa waumini kanisani,,,,,,he he he
atakuwa kajaaliwa kama ni true.....
 

I am just saying the obvious honey.....πŸ˜›
 
I am just saying the obvious honey.....πŸ˜›


That is very true honey...alafu this song i look to you.....nimeusikiliza over and over hadi ukanitoa chozi maana umenikumbusha somthing....ooh all is well....
 
that is very true honey...alafu this song i look to you.....nimeusikiliza over and over hadi ukanitoa chozi maana umenikumbusha somthing....ooh all is well....

mwanamke akilia baada ya kusikiliza nyimbo au kutazama movie,,,
thats very sexy......
My ex gf alikuwa ndio zake .....analia halafu nambembeleza.....mhhhh......acha kabisa....
 
mwanamke akilia baada ya kusikiliza nyimbo au kutazama movie,,,
thats very sexy......
My ex gf alikuwa ndio zake .....analia halafu nambembeleza.....mhhhh......acha kabisa....

Mkuu nimeipenda hii...na asipolia ndo inakuwa kinyume chake?
 
Lakini sauti yake umeionaje ukilinganisha na miaka ya 90? naona kama ipo kinamna quality yake sio ki viile...
....Mkuu, YeYo si-mchezo!! unajua hata Robbie Williams alikuwa 'anajisafisha' live kule kwa Simon Cowell(X Factor 2009),sauti ilikuwa ya ajabuX2 kweli!!....ngoja kesho tuone naye mama bobby itakuwaje
 
It sounds like you are her distributor!!
 
Kelly1 naomba unitumie kama zawadi shost ,,nitakukumbuka daima πŸ™‚
 
Duh! nimekubali............naitafuta saa hii saa hii! ngoma ni kali bana......the way she goes up and down change vocals like the mistress of dem all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…